KWA WAFANYABIASHARA
Pakua app ya WekaOrder
Pokea order, ongeza bidhaa na jibu wateja kutoka kwenye simu yako, kwa kubonyeza icon moja. Haihitaji Play Store.
Kwenye Android (Chrome)
- Fungua ukurasa huu kwenye Chrome.
- Bonyeza Pakua app, kisha Install.
- Huoni kitufe? Fungua menyu ya Chrome (vitone vitatu juu kulia), chagua Install app au Add to Home screen.
Kwenye iPhone au iPad
- Fungua ukurasa huu kwenye Safari.
- Bonyeza kitufe cha Share (kisanduku chenye mshale).
- Chagua Add to Home Screen, kisha Add.
WekaOrderDuka lako kwenye icon moja
Fungua dashboard yako moja kwa moja, bila kutafuta link.
Arifa za order mpya
Washa arifa kwenye app upate taarifa kila order mpya inapoingia.
Maboresho yanakufikia yenyewe
Huhitaji kupakua upya. Tukiboresha WekaOrder, app yako inaboreka pia.
Wewe ni mteja? Huhitaji app. Fungua link ya duka na uagize moja kwa moja.
Tembelea maduka